Kama mwanaume, inakuwaje unakubali na kuamua kuwa watoto wako walelewe na mke wako pekee na si wewe pia kama baba katika familia?
Nadhani ni muhimu kuuliza, kwa nini mwanaume angeweza kuchukua maamuzi ya kumwacha mke wake peke yake kubeba jukumu la malezi ya watoto kwenye ulimwengu huu...