mwanaume na mwanamke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu

    Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday Dialogues" cha mtangazaji STVR. "Niliibuka na wazo la kujumuisha kipengele katika katiba...
  2. Bado natafuta

    Mavazi yampasayo mwanaume na mwanamke

    Shalom, Mtu wa Mungu karibu tujifunze Neno la Mungu, Taa pekee ya kweli iongozayo miguu yetu. Leo kwa ufupi tutajifunza ni kwanini Mwanamume hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamke, kadhalika na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume. Neno hilo linapatikana katika kitabu cha...
  3. M

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiand

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
  4. Equation x

    Anayenufaika zaidi kwenye mahusiano ni nani, mwanamke au mwanaume?

    Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama nyingi zilizojificha; hapo mwanaume ananufaikaje? Mwanaume atajitahidi kujinyima na kusomesha, baada ya...
  5. I

    Trump anaendelea kupinga na Mapenzi ya Jinsi Moja

    Rais wa zamani wa Marekani Bado anaendelea kukerwa na Mapenzi ya Jinsi Moja.
  6. Ileje

    Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  7. Swahili AI

    Tofauti ya kuchepuka iliyopo kati ya mwanaume na mwanamke

    Mwanaume akichepuka ni sawa na mtu kunawa mikono kwenye mabakuli tofauti tofauti. Mwanamkenakichepuka ni sawa na watu kunawa mikono kwenye bakuli moja. Umeiona tofauti hapo? https://www.instagram.com/reel/C4hmiefouBo/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
  8. George Charles007

    Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

    Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume? Je, yawezekana kuishi katika mahusiano bila kupishana kabisa?
  9. R

    Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke lakini Mume na Mke hakuna usawa

    Salaam shalom!!! Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke, Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume. Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...
  10. Gerald1

    Mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli

    sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
  11. PromiseLand

    Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Zipo tofauti nyingi kati ya MWANAUME na MWANAMKE zinazosababisha migongano mingi kwa wahusika kwa kutokujua, laiti kama wangezijua tungepunguza migongano na migogoro isiyo ya lazima. 1) MWANAUME aliumbwa kutokana na udongo lakini MWANAMKE hakuumbwa kutokana na udongo yeye alitolewa kwenye ubavu...
  12. Mr Why

    Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Maisha ya sasa mwanaume na mwanamke ni maadui wakubwa sana tusitegemee tena mahusiano ya kimapenzi au ndoa kudumu. Uhalisia ni kuwa maisha ya sasa yamejaa uadui mkubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ndio maana mahusiano hayastawi tena. Wapenzi wataanza mahusiano lakini baada ya muda mchache...
  13. Tajiri Tanzanite

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani ana uzao (kizazi)?

    Hapo vipi, Kwanza kwa tafsiri ya Kizazi au uzao ni ile hali au hasili ya muendelezo wa watu wenye asili ya damu, sura, umbile, rangi na tabia ya watu wenye asili inayofanana kutoka nyakati na nyakati (enzi na enzi). Sasa kwa tafsiri rahisi niliyotoa hapo juu. Je, kati ya mwanaume na mwanamke...
  14. Stephano Mgendanyi

    Serikali Inatambua kuwa Ndoa ni kati ya Mwanaume na Mwanamke

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - SERIKALI INATAMBUA NDOA NI KATI YA MWANAUME NA MWANAMKE Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro imesema kuwa inatambua kuwa ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke. Hayo yamesemwa leo Mei 22,2023 Jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dk...
  15. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, Fanya Hivi Ukishajua Tofauti Ya Kupenda Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke

    Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui chochote kuhusu huyo mwanamke, na hata akiongea naye mara nyingi atajifanya haoni vitu vibaya na...
Back
Top Bottom