Mwanaume atapambana kwa kila njia, iwe vibarua, kazi ngumu, kukopa, ufisadi ilimradi tu aweze kumuhudumia mpenzi wake, iwe kwenye kumlisha, kumvisha, kulipa kodi, kusomesha, pamoja na gharama nyingi zilizojificha; hapo mwanaume ananufaikaje?
Mwanaume atajitahidi kujinyima na kusomesha, baada ya...