My man kafulia jamani , before mambo yalikua mazuri alikua anahudumia kila kitu kuanzia rent, my expenses na kila ninachohitaji.
Ila recently tangu last year December Yani mambo yamekua ovyo sana kwake . Yani hela ananipa ila kidogo sana tena ya kusubiri.
Sasa Naona mapenzi kwake yameanza...