Tuone hapa mwandiko wako namna ulivyo, kuna wengine wana mwandiko mzuri, na kuna wengine Tuna mwandiko kama bata anaharisha.. Show your hand writing hapa ikiwa kwenye karatasi au hata kwenye simu lakini kwenye karatasi ni vyema zaidi.
Hatimaye desa langu nimelipata nilipokuwaga o level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.