Sifa njema zote za mstahiki Mwenyezi Mungu Sub'hana wa Ta'ala, Rehma na Amani zimshukie kiongozi wa Ummah, Mtume wetu Muhammad Swallallahu alaiyhi wasallam.
Kwenye mafundisho (ya dini) tunaambiwa, kwa kila mwenye kutia nguvu na kujiwekeza katika kuwafanyia mema wamzungukae na atarajie malipo...