Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema.
Theopista amekuwa akiugua kwa muda mrefu, na taarifa zaidi kuhusu mipango ya mazishi itatolewa baadaye.
BWANA alitoa, na...