Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
Juzi hapa ilitangazwa kwamba Prof. Mwandosya ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa EWURA. Wengi walishangaa kwa nini Prof. Mwandosya kaletwa kutoka hali ambayo wengi wetu tulidhani ni ustaafu na kurudi kuwa Mwenyekiti wa EWURA.
Lakini hatupaswi kushangaa. Uteuzi wa Prof. umetukumbusha pia kwamba wakati...
Tarehe 19 Agosti 2022, Barua kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu
ilieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mark James Mwandosya kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)...
Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwanini msiombe yafuatayo:
1. Abstract...
Eti anajiuliza Mwanasisasa anawezaje kumaliza PhD kwani anatumikia siasa na wakati huo huo anabukua! hawa ndiyo wale MaProf waliokuwa wakizingatia sana kupoteza muda mwingi wa kusoma Enzi zao ambazo hazikuwa na teknolojia kama ya sasa.
Hawa waliamini katika kusoma kwa muda mrefu badala ya...
Katika enzi hizi ambazo hata kina Msukuma wanapenda kujiita ni Madaktari wa Falsafa, na hili la mawaziri Jafo na Biteko kutunukiwa na UDOM, Udaktari wa Falsafa, kuna neno.
Prof Mark Mwandosya, msomi wa Udaktari wa Falsafa, mwalimu wa siku nyingi Co Kikuu Dsm na mwandishi wa Research Papers...
Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu.Hata ya uzamili ni kazi sana.Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au viwango vimebadilika?
Nianze na Profesa Mwandosya
Ni mhandisi wa umeme
Alisomea Japani
Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo
Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha
JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
Waziri wa zamani katika serikali ya awamu ya nne, Profesa Mark Mwandosya ametangaza kifo cha baba yake mdogo, Agen Mwandosya kilichotokana na kile alichokiita kuwa ni “changamoto ya kupumua”.
Profesa Mwandosya ametoa tangazo hilo leo Februari 15 katika ukurasa wake wa Twitter huku akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.