Mwanga wa jua una faida lukuki katika mwili wa mwanadamu hasa wagonjwa. Hospitali za zamani zilikuwa na utaratibu wa kuwatoa na kuwaweka wagonjwa maeneo ya wazi ili wapate mwanga wa jua.
Siku hizi utaratibu huo haupo tena, wagonjwa wanashinda ndani kutwa nzima, hawapati mwanga wa jua kabisa...