Mwami (pronounced [mwɑmi, mŋɑmi]) is an honorific title common in parts of Central and East Africa. The title means chief or tribal chief in several Bantu languages. It was historically used by kings in several African nations, and is still used for traditional kings or rulers of regions within several African nation-states.
Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto.
Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini.
Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki hususa visiwa vya Zanzibar na Mafia.
Kama ndio mara ya...
“Nina Watoto nane, shughuli yangu kubwa ni Kilimo cha Mwani ambayo ni miongoni mwa mazao ninayoyategemea kunipatia mkate wa kila siku. Nafanyia shughuli zangu katika Kijiji cha Shamiani Kangani, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Hapa ndipo pia ninapoishi.
Nimekuwa na ndoto ya kuwa mkulima...
Wakuu vipi?
Nina Imani wote mu wazima, ni kampuni gani kwa dar hapa inanunua mwani wakuu? Bei ya kilo ikoje?
Nawezaje na naanzaje kupata mteja nje ya nchi ikiwezakana wakuu?
MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya...
Dear,
Nimekuwa muhanga wa tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu, nikatambulishwa bidhaa ya mwani( seaweeds) toka nimeanza kutumia naona mabadiliko makubwa ya;
1.Gesi imekata kabisa
2.Pressure iko regulated vizuri.
3.Joint zimekuwa imara.
4. Yale mambo yetu ndio usisema.
Tubadilike ndugu zangu tuanze...
Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
Na Gaspary Charles
WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha wanayokabiliana nayo kutokana na wanunuzi kusitisha ununuaji zao hilo.
Hayo yamebainishwa na wanakikindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.