mwanza

  1. JamiiForums Tanzania Msaada uzoefu wa watumiaji wa unlimited Internet ya Airtel Mwanza mjini

    Kama kichwa kinavyojieleza, nimekua mtumiaji wa voda unlimited kifurushi cha 115K miaka miwili sasa, lakini huu mwaka kimekua na usumbufu wa hali ya juu as if ni msaada..... Nataka nihame chimbo, option pekee ni airtel, TTCL wameniwekea mkwamo, tigo nilipo ni mtihani mkubwa...... Kama unatumia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa heshima, naomba Simba na Yanga msapoti Pamba Day, Mwanza hata kwa kutuma kikosi cha pili

    TFF na serikali, hebu mlione hili ili tupate balansi, wakienda hawa, hata wacheze dakika 10, mtasisimua michezo huko, iwe Mbeya, Arusha
  3. JamiiForums Tanzania Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi. Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:- 1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Mwanza

    Naombeni wadau basi zuri la kwenda Mwanza, muda wa kufika kutokea DSM na nauli yake
  6. JamiiForums Tanzania NSSF mmetupiga kitu kizito hapa Watanzania

    Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota tano iliyopo jijini Mwanza eneo la Capripoint inayomilikiwa na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto ya upatikanaji maji kata ya Buhongwa Mwanza-Nyamagana

    Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea. Mradi wa maji wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya nondo Mwanza, Pwani na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?.

    Ok straight to the point. Hivi viwanda vya nondo katika mikoa ya Mwanza na Dar wanalipa kiasi gani kwa siku?. Kwasasa nipo Nzega Tabora, Sehemu ya kufikia kwenye hayo majiji ninayo. NB: Nimejaribu kuulizia kwa masela nao hawajui, nikaona niulize shida yangu hapa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni ngumu kwa mtu ambitious kuridhika na Ukuu wa Mkoa, 2025 Makonda anaingia bungeni kwa kutumia jimbo gani?

    Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge. 2020 alikurupuka ila round hii itakuwa kajipanga vilivyo swali, je atatumia jimbo gani?
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali isiwe na kodi moja kwenye makato yake?

    Wachumi njoo mnisaidie kitu hapa. Mimi ni mtumishi kwenye shirika moja la maendeleo, na mshahara wangu ni Milioni 2 na laki 8 ila kutokana na sheria na taratibu za nchi ninatakiwa nilipe PAYE kiasi cha 668000, hapo ninabakiza kiasi cha 2,132,000 hivi kiasi ambacho bado ninahitakija kulipa bima...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara

    Nimeingia Rock City juzi. Aisee I must admit that Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara kwenye sekta ya warembo na upatikanaji wao.. Warembo wa mwanza : 1. Wasafi wazuri wapo classic . 2. Sio malaya wakujiuza yani unaweza kupata mademu hata wanne mtaani ndani ya siku moja ( ni sound zako tu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

    Hivi kinachoishinda serikali kujenga miundombinu ya trams ni nini? nchi za wenzetu hii kitu imeanza miaka hata kabla hatujapata uhuru.
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO Mwanza mnalala sana mtatusababishia maafa siku si nyingi

    Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi. Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea...
  15. JamiiForums Tanzania Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

    TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222. Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua. Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
  16. JamiiForums Tanzania MAFUNDI WA CCTV CAMERA-MWANZA NA MIKOANI-0746373222.

    Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi. Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA. Call/Whatsapp 0746373222. Instagram...
  17. JamiiForums Tanzania Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenyeji wa Mwanza hivi kuna sehemu wanawafikia hawa jamaa kwa huduma za kwenye magari

    Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY) Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b ei rahisi halafu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ina mzunguko mkubwa wa pesa ila ina miundombinu mibovu sana

    Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
  20. JamiiForums Tanzania Napata wap Sealer / vifungio vya karanga kwa mwanza??

    Wakuu natafuta ivi vibanio vya kufungia karanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…