mwanza

  1. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mama akamatwa kwa kumzika mwanaye akiwa hai ili apate utajiri

    Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri. Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

    Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
  5. JamiiForums Tanzania RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  6. JamiiForums Tanzania Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  7. JamiiForums Tanzania Vyumba vya vinapangishwa Busenga Mwanza

    Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency umeme....Hapo bado finishing ya Mikanda ya Tiles na vyoo ni vya nje unaweza kuweka booking kupitia...
  8. JamiiForums Tanzania King'amuzi kinahitajika Mwanza

    Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
  9. JamiiForums Tanzania Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  10. JamiiForums Tanzania Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
  12. JamiiForums Tanzania Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza: Nauza PS4

    PS 4 fat gb 500 zipo Gem 7. FIFA 2022 WRC7 Pes2021 Mortal 11 combart God of wall Need for speed heat Gta5 Pad 2 hazina kipengere Fika anza kucheza kabla hujalipia Price Tag read: 590,000 net ziite: 0713096076
  14. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

    David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo...
  16. JamiiForums Tanzania Arusha na Mwanza watu wana hela ila hakuna tajiri

    Japo na kujitapa sana hii mikoa watu wanahela ila matajiri hamna Uhakika ukisema orodha ya matajiri kuanzia namba 1 mpaka 50 wote watatoka DSM
  17. JamiiForums Tanzania Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa PCB pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Uwe na uwezo wa kufundishaa yote matatu pre form one. Npigie kweny number 0683669735
  20. JamiiForums Tanzania CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

    Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…