mwanzo

Mwanzo is the debut album by Sauti Sol, a Kenyan afro-pop band. It was released on August 4, 2009 by Penya Records.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Pre GE2025 Mbunge wa Moshi mjini, ⁨Priscus Tarimo amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini

    Mbunge wa Moshi mjini MH.PRISCUS TARIMO @⁨Priscus Tarimo B⁩ amekuwa mtu wa mwanzo kuleta maajabu ya maendeleo Moshi mjini... Haikuwa rahisi kwa chama kumpa ridhaa mtu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wa kada yoyote ndani ya CCM na ambaye walitazama sifa zake wakaona ni mbovu hazifai kuwa...
  2. MH JAJI MKUU;PITIEN KAGUENI HIZI MAHAKAMA ZA MWANZO ZINA MATESO KULIKO YA BWANA YESU..HAYAELEZEKI..WANANCHI WANATESEKA SANA

    MH JAJI Mkuu Shikamoo Baba Yangu habari za uzima naamini Mungu ametuamsha salama kusaidia wananchi wako Baba yetu mzee wetu leoo nimeona nikujuze tu kwa yanayaoendelea mahakama za mwanzo MH JAJI MKUU Mahakimu WA mahakama za mwanzo wanatesa sana wananchi wanaumiza sana WANANCHI WASIO na uwezo...
  3. Chuo kikuu cha mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti.Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke.

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  4. Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  5. Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  6. Hoja fikirishi: Nini kilitokea kabla ya Mwanzo 1:2

    Biblia katika kitabu cha Mwanzo 1:2 inaeleza Mwanzo 1 2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. Katika mstari huu kuna vitu vya kujiuliza ambavyo Natumai wajuzi wa haya mambo mtanisaidia? 1. Kwanini nchi...
  7. Sababu moja wapo MANGI kuwakubali Wamisionari Kilimanjaro

    Walifika kwa kupitia bandari ya Mombasa.Kisha wapagazi waliwasaidia kubeba mizigo yao na safari kuendelea, wakati huo kulikuwa hakuna namna yeyote ya usafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro. KUna kisa kimoja cha Mchingaji Gutman wa Ujerumani alipokuwa njiani kutokea MOmbasa walikutana na Nyumbu...
  8. W

    Moto wa california ni mwanzo tu, Sifa zinawekwa kando watu wanapewa kazi kwa kuwapa kipaumbele waliobadili jinsia, wamarekani weusi, wanawake, n.k.

    DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris, Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali Tatizo linapokuja hii DEI...
  9. M

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  10. Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi

    Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu. Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo, lakini hatujawahi kuambiwa hayo mafumbo Ni yapi. Sasa hili Ni SoMo ambalo litakuwa hewani kuanzia...
  11. Njia sahihi za utunzaji wa Ngozi yako kwa mwaka 2025: Mwanzo Mpya kwa Ngozi Yenye Afya

    Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na bidhaa tunazotumia. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuimarisha na kulinda ngozi yako mwaka huu...
  12. Hii controversial ya Mwanzo wa ulimwengu na Dunia, Je inawezekana ndio siri kuu iliyofichwa na Mungu, Ukitoa Kifo ?

    Hii ni THE GIDEONS Edition 1980 Copyringht by Thomas Nelson Inc. Kwenye kitabu hiki kitakatifu cha Mungu, Musa aliandika kama ninavyo nukuu. "IN THE BEGINING GOD CREATED THE HEAVEN AND THE EARTH, THE EARTH WAS WITHOUT FORM, AND VOID, AND DARKNESS WAS ON THE FACE OF THE DEEP, AND THE SPIRIT OF...
  13. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  14. M

    Kipa Khomein atutaki tukuite mara tatu kama magori alivyomuita camara,,makosa ya kijinga uliyofanya leo iwe mwanzo na mwisho!

    Kipa aliyefundishwa na kuiva vizuri awezi kufungwa goli kama lile la pili,,unapoona Mpira umekuzidi inatakiwa kutanua mikono yako kuusukumiza mbali na sio kutaka kudaka namna Ile utadhani unadaka senene🚮🚮 Yanga ni timu kubwa na mahitaji yake ni makubwa ivyo usidhani unachezea kmc ama Dodoma...
  15. A

    KERO Uozo na ukiritimba Mahakama ya Mwanzo Ilala

    Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
  16. S

    Shilingi ya Kitanzania yapata nguvu ghafla. Je, huu ni mwanzo mpya?

    Wiki hii imekuwa ya kipekee kwa uchumi wa Tanzania, kwani shilingi ya Kitanzania imeimarika kwa takriban 10% dhidi ya Dola ya Marekani. Mnamo Desemba 7, 2024, shilingi ilikuwa ikibadilishwa kwa takriban 2,580 TZS kwa USD 1, lakini sasa imeshuka hadi 2,294 TZS kwa USD 1 kufikia Desemba 14, 2024...
  17. D

    Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili? Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T...
  18. J

    Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa

    Mitume wa Mwanzo Walivyoteswa na Kuuawa Petro Mtume Petro alikuwa kiongozi wa kanisa la kikristo. Alikuwa ni mvuvi kabla Yesu hajamteua kuwa mwanafunzi wake. Aliuawa huko ROMA, ITALIA. Alipata adhabu ya kifo cha msalaba. Ila, yeye alisulubiwa tofauti na Yesu Kkristo. Kusulubiwa kwa Petro...
  19. Kulikoni? Kikwete mbona hana raha Kama mwanzo?

    Kwanini JK hana raha kabisa Kama ilivyokuwa mwanzo? Au katengwa Maana Kuna kauli kaitoa karibuni kwamba ukitaka nchi itulie ishi vizuri na wazee Pia akatoka kauli kusema sio kila mzee ni mwasisi wa CCM Najiuliza kwanini JK hana raha kabisa sasahv Kama ilivyokuwa mwanzo Mpaka alikuwa...
  20. B

    Sijaona Mchango wa Balozi Hamphrey Polepole kwa Taifa kama alivyotuaminisha hapo Mwanzo

    Habari wakuu. Kwa wale tunaomfahamu MH Balozi Humphrey Polepole tangu miaka ya 2010 tunaweza kukiri kuwa amebadilika sana. Alikuwa ni Mwanaharakati mpenda maendeleo na haki sawa kwa wote. Mpenda amani na Utawala bora. Hata hivyo ameendelea kutuonesha dalili za uwezo wake alipochaguliwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…