Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa
Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia
Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
Wakuu,
Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili.
Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa
1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi
2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao
3...
Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa?
Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa...
Ni masaa machache tu toka nifahamu kuwa Ihefu imenichania mkeka kinyama na kiroho mbaya ila nashangaa sisikitiki Nina furaha isiyoelezeka na pia najiona Sina haja na Hela,je ni zile za sitaki mbivu hizi au nakuwa mwehu wakuu,pliz wataalamu mnisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.