Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba
https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu.
Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.