Wakuu,
Masoud Kipanya huwa anaongea kwa lugha ya picha na kuachia hadhira kutafsiri kutokana na uelewa wa kila mmoja.
Je, hii picha yenye viboksi vitatu, ikiwa na rangi za CHADEMA lakini pia kiboksi cha kwanza kikiwa kimechorwa sehemu ya nyuma ya Pundamilia inamaanisha nini?
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo.
Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto.
Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi.
Basi tambua kuwa hawa watu hata waamie kwenda sayari venus, wataanza kupigana tena wao kwa wao kwa maana asili yao ni resistance...
wana jamii forums, naomba msaada wenu, alie hitimu veta level 3,
anaendelea na diploma naomba mniambie chuo gani bora kwa ajiri ya civil engineering_fani ya masonry. ahsante
Kuna maneno na minongong'ono mingi sana vijiweni, kufuatia adhabu inayodhaniwa kuwa ya uonevu iliyotolewa na spika kwa Mpina.
Wapo wanaodai spika ana unasaba ama "amewekwa sawa" na wafanyabiashara (mafisadi), lkn wapo wanaodai kuwa hii ni vita ya chini kwa chini kati ya ccm ya watoto wa mjini...
Wakuu habari za wakati.
Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote.
Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.
Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu.
Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara.
Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
Friends and Our Enemies,
This is the last kick of the dying horse,
Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa.
Wameona kuwa hila zao, uongo wao na lugha zao chafu baada ya kukataliwa na wananchi wameona sasa waanze choko choko na...
Hii tume ya marekebisho ya mitaala ya elimu ukitazama mapendekezo yao ni wazi hawana uwezo wa kukwamua elimu ya Tanzania. ukitazama mapendekezo unaona kabisa ni watu ambao kwanza hawana taarifa kama elimu yetu ni mbovu, yawezekana ni watu walewale waliokuwa wakifundisha wakati hawajui kama...
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama.
Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
Danadana za kupata KATIBA MPYA NA BORA zinaendelea, na kuendelea kutafuna fedha za umma kwa mabilioni.
Maoni ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni...
Ni wachache sana kukuta mtu anaeleza vita vilivotokea kwenye taifa moja kwa jina Macedonia.
Vita hivi vilianza 1991-2001.
Mwendelezo wa vita hii ni sababu za ethnic conflict kujikuta taifa likitengana na kuzaliwa nchi kama Slovenia, Croatia, Bosnia and Herzegovina, Montenegro, Serbia, and North...
Tarehe 16 Oktoba China itakuwa na mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China unaofanyika mara moja kila baada ya miaka mitano, ambao kazi yake kubwa ni kupanga mwelekeo wa chama katika kipindi cha miaka mitano. Mkutano huu unafanyika katika wakati hali ya ndani ya China na hali ya...
Hatua stahiki zinahitajika hapa kama si mwendelezo wa kujisahau:
Ya Mwigulu, Nape na walamba asali wengine tumeyaona. Kama vile haitoshi tena tunastaajabu ya Waziri Masauni.
Asali mlambe nyie na kukiuka haki zetu juu?
Hivi mnawajibika kwa nani enyi miungu watu?
Ndugu zangu,
Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine ni mzuri na unatuvutia wengi kutokana na kiwango cha fedha wanachotoa na huduma ambazo hupewa...
William Ruto (UDA)
50.49%
7,176,121 Votes
Raila Odinga (AZIMIO)
48.85%
6,942,930 Votes
George Wajackoyah (RPK)
0.44%
61,969 Votes
David Waihiga (AGANO)
0.23%
31,987 Votes
==============
Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa...
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani...
Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern".
Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko.
Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.