Baada ya heka heka za kalenda ya FIFA kwa michezo ya mataifa mbali mbali kuisha, wiki hii ligi kuu Tanzania bara itaendelea tena. Binafsi nilimisi sana soka la timu ya Yanga ya msimu huu hasa likitangazwa na Mpenja.
Nani unautaka, Bangala. Nani unautaka, 'Mwamnyeto.'Nani anautaka 'Aucho dokta...