Kwema,
jamani wanajukwaa huyu waziri aliyetangaza watu wenye vyombo vya moto kutumia Barabara za mwenďokasi kaleta balaa ingawa yeye alimaanisha Barabara zile ambazo hazijaanza kutümika.
Kama kawaida ya Wabongo kupindua vitu kichwa chini miguu juu kumekuwa na matumizi holela ya hizi barabara...
Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna Watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.