mwendokasi kimara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vurugu Kituo cha Mwendokasi Kimara Temboni, abiria ashambuliwa

    Vurugu zimeibuka katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi cha Kimara Temboni, baada ya kile kinachodaiwa kuwa ni ukiukwaji wa utaratibu wa kupanga mstari kwa abiria. Tukio hilo limetokea leo Februari 25,2025 majira ya saa 8:40 asubuhi ambapo lilianza pale abiria walipovunja mstari rasmi wa upanda...
  2. Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  3. M

    KERO Rais tunaomba utoe maagizo TANROADS kuja na mkakati wa kupunguza foleni Kituo cha Kimara Korogwe

    Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote lilivyosheni vifaa vya ujenzi wa barabara. Kwa kuwa Morogoro Road ndio barabara kuu kwa nchi yetu...
  4. Mchechu: Kuna wizi mkubwa kwenye Mwendokasi katika malipo ya ‘cash’

    Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo kutokana na malipo ya kutoa fedha taslim (cash). Amesema “Ukiwa na opareta wengi wa kuendesha...
  5. KERO Kituo cha Mwendokasi Kimara acheni kutiririsha maji machafu usiku

    Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa...
  6. DOKEZO Baada ya Serikali kushindwa ni muda sasa wa kurejesha Daladala za kusafirisha abiria Kariakoo-Kimara-Mbezi

    Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu wakazi wa maeneo hayo wanayo haki ya kusafiri kutoka makwao na kwenda mjini. Naona dalili ya Jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…