mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  2. L

    Tamasha la Mwenge la mwaka 2022 lafanyika Kunming, China

    Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na kushiriki kwenye Tamasha la Mwenge la Mashariki na watu wa makabila madogo. Tamasha la Mwenge ni tamasha...
  3. Machinga warejea upya Mwenge

    Pamoja na Kampeni iliyogharimu pesa nyingi ya kuhamisha machinga sehemu maalum. Kwa Sasa wamerudi upya wakiupiga mwingi
  4. A

    Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  5. Kiongozi wa mbio za mwenge 2022 anaupiga mwingi

    Kwenye kukagua miradi yuko makini sana, anathibitisha yeye mwenyewe yaani kama VAR katika mpira. Tuliona akikagua ubora wa barabara, na sasa tunaona akikagua miundombinu mbalimbali akiwa mkoani Mtwara. Kwa hakika, huyu jamaa waliomfanyia vetting walichagua kiongozi bora natamani haya makeke...
  6. Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili? ============================ Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
  7. Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  8. Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  9. Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

    Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
  10. Naomba kujua utaratibu wa kupata fremu na gharama zake Mwenge

    Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu. Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge. Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje? Ningependa kujua...
  11. Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
  12. Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

    Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea. --- Kiwanda cha kutengeneza magodoro kinachomilikiwa na Kampuni ya GSM kilichopo Mikocheni jijini Dar es Salaam kimeungua moto Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana kwa sasa. Soma >...
  13. S

    Benki ya Equity Mwenge ni kero kubwa kwa wateja

    Ndiyo benki pekee iliyobakia hapa mjini ambayo unaweza kukaa foleni zaidi ya saa 1 na nusu hujahudumiwa.Uongozi wa Equity litizameni hili.
  14. L

    Mbio za mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zaendelea

    Mbio za mwenge za Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 zilizinduliwa jana mjini Beijing.
  15. NGACHOKA: Jina la Daraja 'Tanzanite' muonekano wa daraja kuna alama ya 'Mwenge'

    Habari ya mtandaoni kwasasa ni watu kupita na magari, bajaji, pikipiki, bodaboda katika daraja jipya la Tanzanite. Wapo wenye kuisifu Serikali ya Mama, Wengine wanamuenzi Magu, wengine wanalaumu kuwa kwanini lisingejengwa Jangwani n.k Mimi binafsi nimeshangazwa na mkinzano wa jina na...
  16. Jengo lililotelekezwa Mwenge Stand ya Zamani lingeweza kupunguza hadha ya wamachinga wanaotaabika

    Wana JF Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
  17. K

    Aliyeset taa za Ubungo kwa Mfugale kutokea Mwenge kwenda Kimara amechemka sana

    Hizi taa mwanzoni zilikuwa zinaruhusu sekunde angalau kuanzia sitini. Kwa sasa wameamua kuweka sekunde ishirini. Hii kwa kweli imerudisha foleni ya zamani. Sasa hivi foleni inaanzia njia ya kwenda UDSM. Huyu aliyeset hizi taa ana makusudi gani?
  18. M

    Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  19. Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  20. J

    Suala la Wamachinga: Leo ni zamu ya Mwenge, SUMA JKT wamefanya usafi na kuondoa meza zote -- sasa panapendeza!

    Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara. Maendeleo hayana vyama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…