mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Mwenge - Morocco: Stendi za Daladala 6 na Traffic lights maeneo 10 kama mapambo, Panachosha lakini salama

    Ukitokea Mwenge kuelekea Morocco Traffic lights 1. Mwenge 2. Njia panda ya ITV 3. Bamaga 4. Sayansi 5. Millenium tower 6. Makumbusho 7. Njia panda ya Mwananyamala 8. Njia panda ya Kairuki hospital 9. Njia panda ya Chato ( Vodacom) 10. Morocco Vituo vya Daladala 1. ITV 2. Bamaga 3. Sayansi 4...
  2. Upanuzi wa Barabara ya Morocco - Mwenge umelenga nini?

    Morocco/Victoria hadi Mwenge ni kipande kifupi sana kuhitajii kupanuliwa kuwa njia 8 kwakuwa kinaunganisha barabara nyembamba za Mwenge kwenda Tangi bovu na Sam nujoma ambazo ni njia NNE zote. Hivyo magari yatapita mengi na kwenda kujazana Mwenge au kutoka Mwenge na kwenda kujazana Morocco...
  3. Kiongozi wa Mwenge agoma kuteketeza zaidi ya kilo 3000 za bangi

    Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu. Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa...
  4. Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

    Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo cha Afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa. Awali katika hotuba ya ufunguzi ilielezwa kwamba aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Lengai Ole Sabaya...
  5. #COVID19 Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  6. R

    LT. J P Mwambashi kuwa kiongozi wa mbio za Mwenge

    Wakuu hasa wale wenye ujuzi na mambo ya kijeshi, nisaidie hili. Ninavyo fahamu mimi kijeshi huwezi kuwa kuongozi kikundi cha kijeshi chenye wanajeshi wenye cheo zaidi yako. Kikindi hiki cha wakimbiza mwenge kina wanajeshi kama wawili wenye rank ya Captain. Lakini kiongozi wao no. LT JP...
  7. J

    Yanayojiri: Uzinduzi wa mbio za Mwenge wa uhuru 2021, Umewashwa na makamu wa pili wa Rais Zanzibar utakimbizwa siku 150!

    Mwenge wa uhuru umewashwa leo mjini Zanzibar na makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Ameir. Kiongozi wa mbio za mwenge ni luteni Josephine Mwambushi na ataukabidhi ukiwa unawaka siku ya tarehe 14/10/2021 kwa Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan huko Chato, Geita. Source: ZBC
  8. Mbio za Mwenge wa Uhuru kuzinduliwa

    Kati ya vitu vinavyotupa umoja na mshikamano na kuchochea maendeleo ni Mwenge wa Uhuru. Kazi Iendeleeee! Mwenge wa Uhuru unawashwa tarehe 17 Mei 2021 huko Makunduchi na Utazimwa Wilayani Chato Mkoani Geita mwezi wa kumi. Asante Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, Rais makini mwenye kufuata...
  9. T

    Tunaweza kupunguza gharama za mwenge

    Na Thadei Ole Mushi. Tukiweza tuangalie upya utaratibu wa Mbio za Mwenge. Sio kila kitu kilichoanzishwa na wazee wetu kinakuwa na tija wakati wote. Katika kipindi hiki Corona ikiwa inatikisa Dunia ni vyema tukapunguza Mikusanyiko. Fikiria Mwenge huu utapita kila Mkoa na kila Wilaya na kutakuwa...
  10. Mchango wa mbio za Mwenge

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania "KAZI IENDELEE" Waungwana Hii Imekaaje? Watumishi wa Serikali Kuchangia 1000 Kwenye Mbio Za Mwenge. Hapa KILIMANJARO Nimeona Watumishi wa Serikali Hasa Waalimu Wanalalamika. Inakuwaje Wapitishiwe Mchango Kuuchangia Mwenge? 1. Inamaana...
  11. Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
  12. Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

    "Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau" Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…