mwenye nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mpangaji agoma kuhama baada ya mkataba kuisha. Nitumie mbinu gani kumtoa kwenye nyumba yangu?

    Wana BODI naomba ushauri. Wapangaji wangu wote naingia nao mkataba wa miezi sita. Ambao ni renewable . Katika mkataba kuna kipengele cha security deposit Sawa na kodi ya mwezi ambayo hutumika kutengeneza nyumba mkataba ukiisha. Mpangaji wangu mmoja single mother mkataba wake ulikwisha mwezi...
  2. greater than

    Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  3. Z

    Naomba msaada wa kisheria au mawazo dhidi ya mwenye nyumba wangu

    Habari za muda huu? Nilitafutiwa chumba na dalali maeneo ya Magomen Kagera pale maeneo ya Oil com, Hivyo basi nilitoa kodi ya miez 5 na Kodi ya 1 ya dalali jumla nikatoa tsh 360,000 kwasababu kodi ya chumba ilikuwa tsh 60,000. Sasa baada ya wiki moja alikuja mtu wa makamo na kujitambulisha...
  4. N

    Nimempa mimba mama mwenye nyumba wangu

    Naombeni ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini. Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye nyumba anaishi hapahapa Mama mwenye nyumba ni nurse na baba ni mwalim, lakini baba mwenye lakino huyu...
  5. Shooter Again

    Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  6. Mindyou

    Wenye Nyumba kaeni kitaalamu: Kama mpangaji wako atakutwa na dawa za kulevya nyumba yako itataifishwa!

    Wakuu, Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao. Alieleza kuwa baadhi ya...
  7. Melki Wamatukio

    Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  8. A

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
  9. Kalamu Nzito

    Nini Mantiki ya Kurudi kwa Dalali Kwanza Kabla ya Kumalizana na Mwenye Nyumba?

    Habari gani ndugu zangu? Nahitaji kufahamu, unapotafuta chumba/nyumba ya kupanga, kuna mantiki gani ya kuonana na Dalali kwanza hata kama umeshaonana na mwenye nyumba? Sijui utaratibu kwa mikoa mingine, lakini kwa Dar es salaam unaweza kuonana na mwenye nyumba, na akakwambia kabisa vyumba/...
  10. Hammer11

    Mwenye nyumba wangu anafanya maombi yenye kelele kila usiku

    Iko hivi mimi nimepanga nyumba ila huyu mama mwenye nyumba ana kero mimi sio muumini wa dini yeyote ile sasa yeye usiku kucha ni maombi na kelele yaaan hata nikiiingiza demu yeye ni mayoe tu kwa jina la baba sijuiii damu ya Yesu mimi sipendi nifanyaje? Kelele kubwa hata sabufaa sinaa
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Usijenge tu ili nawe uwe na nyumba

    1. Usijenge tu ili uitwe baba mwenye nyumba Jenga mahali tambarare mahali ambapo gari, pikipiki na baiskeli vinaweza kuingia bila shaka. Usiwe na akili za watu wajinga kama waliojenga kwenye makorongo Keko, Mbezi, Kimara na Buza. Hizo locations nilizotaja aisee kuna sehemu hata baiskeli...
  12. scientificall

    Eliza Vs baba mwenye nyumba

    je faza house atatoboa au atakubali kadi nyekundu
  13. Baba wa mbingu

    Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

    Wana jf, kwemaaaaa..? Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki. Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya...
  14. Mjanja M1

    Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
  15. B

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba - Ep 2

    Nawasalim kwa jina la jmt... Nilileta thread hapa kuomba ushauri kuhusiana na mama mwenye wangu kunipa wakati mgumu sasa hali naona ndo inazidi kuwa mbaya yani kama moto ndo kama umemwagia petrol kibaya zaidi kashapata na namba yangu baasi ma msg kila nishamuonya suala kunitafuta mimi siitaki...
  16. Ricky Blair

    Umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako?

    Je umewahi kufukuzwa na mwenye nyumba wako na kwanini?
  17. B

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

    Assalam aleikyum guys Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba ananitegatega kinoma ni mke wa mwenye nyumba na bwana ake ana hela za kutosha ila ndo hana muda na familia ake ye mitungi kwenda mbele na madem kibaooo Sasa mkewe anajua mumewe itikadi zake zooote ila yuko kimyaa sasa naona...
  18. Friedrich Nietzsche

    Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  19. Ivan Stepanov

    Sikuwahi kutegemea haya, hatimaye leo yamenikuta

    Wakuu habari ya muda huu. Sisi wengine kama ilivyo kwa wengi, hapa ndipo pa ku-share issues tunapohisi ku-release baadhi ya mambo yakituzidia. Mchana wangu umeharibika ghafla sana.😅 Kulingana na tides za kibiashara safari hii (ofcourse ni mambo ya kawaida tu), landlord wangu hatimae leo...
  20. KING MIDAS

    Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
Back
Top Bottom