Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
Jeshi la Polisi Tanzania limeeleza kuwa linafanyia uchunguzi madai ya kutekwa kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Mwanza, Amani Manengelo (30).
Inadaiwa kuwa Manengelo alichukuliwa na watu wanne kutoka nyumbani kwa rafiki yake, Jovin Thomas (32), ambaye pia ni Mwenyekiti...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo huko Singida, Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, Deogratius Mahinyila amesema kuwa vijana wa CHADEMA watahakikisha Uchaguzi wa mwaka huu haufanyiki
Mahinyila amesema kuwa mara kwa mara vijana wamekuwa wakiuliwa kipindi cha Uchaguzi, ikiwemo kwenye Uchaguzi wa Serikali...
Nmefatilia hotuba Kadhaa Kati ya Vijana Hawa wawili.
Nimefuatilia machapisho na maandiko yako katika mitandao ya kijamii.
Itoshe kusema, Mwenyekiti BAVICHA yuko hatua kumi mbele za Uelewa, kujiamini, kujenga hoja, yaani ni MTU anayeweza kukupa Suluhisho la Tatizo lako.
Kupata matukio na...
Wakuu,
Ni wazi kuwa kwa sasa huyu CHADEMA imeanza kazi rasmi ya kuwapopoa CCM na hii ni baada ya Mahinyila leo kumuwashia moto Wassira
==========================
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila akizungumza katika mkutano wa hadhara na...
https://www.youtube.com/live/alKQnvp2Ei8?si=6igthwmbdWuJGUXI
Fuatlilia Uchaguzi wa Vijana wa CHADEMA ngazi ya Taifa unaofanyika muda huu.
Kutoka Ubungo Plaza, jijini Dar es Salaam sehemu ambapo mkutano mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA Taifa unaendelea hivi ndivyo hali inavyoonekana nje ya ukumbi...
JE UNAMJUA DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA?
MAMBO 10 KUMHUSU MGOMBEA WA UENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA - TAIFA) WAKILI DEOGRATIAS COSMAS MAHINYILA.
1. Deogratias Cosmas Mahinyila, Ni Wakili wa kujitegemea wa Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mahakama zilizo...
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu
Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu Kesho Juni 10
Taarifa imetolewa ukurasani X
Mlale unono 😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.