Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake.
Soma...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...