mwenyekiti wa bavicha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa amvaa Wasira, adai Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
  2. Waufukweni

    Shangwe la CHADEMA Arusha wakifurahia ushindi wa Deogratius Mahinyila kama Mwenyekiti MPYA wa BAVICHA Taifa

    Shangwe la WanaCHADEMA kutoka soko kuu Arusha wakifurahia ushindi wa Wakili Deogratius Mahinyila kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa. Soma: Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) CHADEMA Taifa 2025 Wanachama hao katika wakisherehekea ushindi...
  3. T

    Pre GE2025 Pambalu: Ukiwa na laki tatu tukawakamata wajumbe watakuchagua kuwa mwenyekiti wa BAVICHA

  4. J

    John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

    Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Ameandika ukurasani X Sabato njema
Back
Top Bottom