mwenyekiti wa bodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi: Miradi isiyozidi Bilioni 50 wapewe makandarasi wazawa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Joseph Nyamhanga, amezitaka Taasisi za Umma kuzingatia sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2023 na kanuni zake za mwaka 2024 ambazo zinaelekeza kuwa mikataba ya miradi ambayo haizidi Shilingi bilion 50 inatakiwa itekelezwe na makandarasi...
  2. milele amina

    Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  3. Suley2019

    Waziri Jerry Silaa ateua Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania na Wajumbe wa Bodi hiyo

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe 15 Novemba, 2019 vinampa Mamlaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  4. Mkalukungone mwamba

    Tido Mhando Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

    WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari. Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo imeeleza kuwa wajumbe wa Bodi hiyo Thobias...
  5. Yoda

    Nani huwa anachagua mwenyekiti wa bodi katika shule za serikali?

  6. Mkalukungone mwamba

    Barbara Gonzalez kutambulishwa leo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba

    KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba . Huenda kufikia leo yakatokea mabadiliko makubwa kwenye uongozi wa juu. kama mambo yataenda sawa Leo au kesho Barbara Gonzalez atatangazwa kuwa Mwenyekiti na
  7. Kingsmann

    Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  8. benzemah

    Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  9. BARD AI

    Uteuzi: Kanali Simbakalia ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa (NARCO)

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Kanali Mstaafu, Joseph Leon Simbakalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi Tendaji ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Simbakalia ni Mhandisi wa Jeshi Mstaafu kutoka Kikosi cha Wahandisi wa Umeme na Mitambo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Amewahi kushika nyadhifa...
  10. babu M

    UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
Back
Top Bottom