mwenyekiti wa ccm ajinyonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Buchosa: Mwenyekiti wa CCM ajinyonga baada ya kukosa pesa ya matibabu

    Buchosa. Maria Ikangila, mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Majengo wilayani Sengerema amesimulia mume wake alivyojitoa uhai kwa kujinyonga kutokana na ugumu wa maisha uliosababisha ashindwe kupata matibabu. Hamis Budaga (60), mkazi wa Kijiji cha Majengo, Kata ya Nyakasungwa mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…