mwenyekiti wa chama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  2. Roving Journalist

    ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  3. Mkalukungone mwamba

    TANZIA Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha soka Wilaya ya Dodoma Mjini Mwalimu Joseph Sehaba afariki Dunia

    Aliyekua Mwenyekiti wa chama cha soka Wilaya ya Dodoma Mjini Mwalimu Joseph Sehaba Amefariki Dunia. Mazishi Yatafanyika Kesho Katika Makaburi ya Chang'ombe Saa 10 Jioni.
  4. milele amina

    Madhara ya kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala

    Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi. Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo. Madhara Mtu mwenye umri wa miaka 80...
  5. Z

    Pre GE2025 Wamekubaliana; Mbowe Mwenyekiti wa Chama Lissu atapewa nafasi ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
  6. Mr Dudumizi

    Kwanini Mbowe asingegombea Umakamu Mwenyekiti wa chama, ili likitokea la kutokea yeye abaki na chama?

    Habari zenu wanaJF wenzangu Ndugu Mbowe na baadhi ya vijana wake (wengi mnawaita chawa), wamekuwa hawaamini kama ndugu Lisu akishinda uenyekiti wa Chadema ataweza kuendesha chama na badala yake atakiua. Wengine wameenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kuna uwezekano Lisu akishinda uenyekiti wa...
  7. S

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA wanaotarajiwa kumchagua Mwenyekiti wa chama Taifa, ni wenye sifa gani au ni kina nani hasa?

    Habari wadau! Ni vizuri watu wakaelewa ni kina nani hasa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA wana sifa za kushiriki kwenye huo mkutano wenye wajumbe wapatao 1,200(nilivyosikia). Binafsi nafahamu baadhi ya wajumbe ni kama vile wenyeviti na makatibu ngazi ya wilaya, mkoa na kanda pamoja na...
  8. instagram

    Hajawahi kutokea mwenyekiti wa chama cha siasa mwenye nguvu kushinda Mbowe nchi hii

    Mbowe aliwahi kuwaleta CHADEMA wakina Lowasa, Sumaye, Membe, na hawa wote walikuja chadema wakijua kabisa watamuita mbowe bosi 😂😂. Mbowe oyeee ,(Magufuli). Pamoja na yote mazuri ya Mbowe ila mbowe muda umefika aachie chama kwa Lissu.
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Ntobi: Kwamba, tuwe na Mwenyekiti, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media kumpokea

    Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu. Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport...
  10. A

    Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa

    Lissu anafiti kwenye taaluma aliyonayo ya sheria lakini hana sifa ya kuwa Mwenyekiti wa chama chochote cha siasa. Lissu ni mlopokaji, ana lugha mbovu ni mtu ambaye hana utulivu, busara ndiyo kakosa kabisa. Ni mtu ambaye anapenda machafuko katika nchi, ana amini maandamano ya wananchi ni NJIA...
  11. Nzelu za bwino

    Ningekuwa Mimi ndio mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama, ningeanza na hili...

    Salaam wana Jamvi.kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu kunipa nafasi ya kukutana na nyie hapa Leo .nirudi kwenye mada yangu Mimi ningekua ndie mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa chama ningeanza nayafuatayo. 1.badala ya kuituhumu ,Mimi ningeipongeza kamati kuu kwa kusimamisha kidete ,na...
  12. britanicca

    Zijue Faida za kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani

    Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo, Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani? Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo 1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited 2. Unaweza...
  13. Mindyou

    Mwenyekiti wa chama cha UDP: Kuelekea 2050 tunahitaji Rais Kichaa atakayetokomeza rushwa!

    Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa ============= Mwambieni Cheyo tushawahi kupata Rais "kichaa" ambaye mpaka alileta wazo la mahakama ya "mafisadi" lakini...
  14. Mindyou

    LGE2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK): Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulienda vizuri. CHADEMA walivamia mkutano wetu

    Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri. Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK) kimeshindwa kutimiza vigezo vya kisheria kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais Pia alidokeza kuwa katika...
  15. Waufukweni

    CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  16. chiembe

    Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  17. The Watchman

    KWELI Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama chake tangu 1954 mapaka 1977

    Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
  18. L

    Pre GE2025 Peter Msigwa: Nimemtuhumu Mwenyekiti wa Chama, sijamtuhumu Mbowe

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa Mchungaji peter Msigwa kada wa CCM kutokea mkoani Iringa na mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini. Ambapo amesema ya kuwa yeye amemtuhumu Mwenyekiti wa chama na siyo kumtuhumu Mbowe. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
  19. R

    CCM na demokrasia: Tangu uhuru Incumbent Mwenyekiti wa Chama hajawahi shindanishwa

    Mara ya mwisho CCM kumshindanisha Mwenyekiti na waombaji wengine ilikuwa 1954. ...by Tundu Lisu! johnthebaptist naomba maoni yako!
  20. dr namugari

    Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
Back
Top Bottom