Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo 12/07/2024, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ameongoza Vikao vya Mashauriano vya Mkoa wa Iringa, ambapo ameshirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa huo Bilionea William Mungai.
Vikao hivi ni vya kawaida vyenye lengo la kujadili mipango ya chama na kuweka mikakati...