Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa Mpululi, Dodoma anagawa anawapora ardhi Wananchi wanyonge kisha anawapa vitisho
Mtaani kwetu tuna Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa ambaye amekuwa akiwaliza watu wengi sana kwenye masuala ya viwanja, anachukua maamuzi ya kuuza viwanja vya watu hawa wale ambao...