Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...