Mimi ni kijana mwenyewe umri wa miaka 34, muislam, natokea familia ya kawaida sana, elimu yangu ya kawaida sana, ninafanya kazi halali ya kumpendeza Allah.
Nahitaji rafiki mwenye hitaji la kuwa mama wa familia. Sichagui dini, umri kuanzia 20 mpaka 32, awe mkweli mwenye hofu na Mungu. Mengine...