mwenyezi mungu

  1. S

    Mwenyezi Mungu ikikupendeza, tuendelee na huyu aliepo sasa

    Mwenyezi Mungu, ulie na mamlaka yote mbinguni na duniani, tunaomba umalize huu uonevu unaoendelea kwa kuwaondoa wale wote wanaohusika katika kutoa baraka zao uonevu huu uendelee pamoja na wale wote wanaosimamia utekelezaji wake. Wale wengine walipukutika wamebaki hawa hivyo tunaomba na wao...
  2. Watanganyika tulimkosea nini Mwenyezi Mungu?

    1. Umasikini uliokithiri (CCM matajiri) 2. Viongozi wabovu (CCM wanarithishana uongozi) 3. Elimu duni (watoto wa wanyonge) 4. Afya mgogoro (vifo vya mama na watoto) 5. Katiba mbovu (ili CCM watawale milele) 6. Rushwa na ufisadi (kinga kutoshitakiwa hata kina Ndungai) 7. Lishe duni na...
  3. Huenda Mwenyezi Mungu sasa katuchoka Wanaume na ameamua kuwainua Wanawake katika nyadhifa kubwa za kiuongozi Duniani ili tujifunze kwao

    Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan. Huko nchini Kenya pia katika Historia yao kwa mara ya Kwanza leo imempata Jaji Mkuu Mwanamke Martha...
  4. Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  5. BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

    Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
  6. M

    Dada zetu ( Wanawake ) mnaompangia Mwenyezi Mungu tena kwa Kumlazimisha awapeni Mtoto wa Jinsia fulani achaneni upesi na huu utaratibu

    Kuna Dada Mmoja wa Mtaani Yeye alibahatika sana kupata Watoto wa Jinsia ya Kiume tena Wawili kabisa. Huyu Dada baadae akawa anatamani mno kupata Mtoto wa Kike na akawa anahangaika kwenda Kanisani Kuliombea hilo na kuna muda hadi kwa Waganga alishaenda vile vile. Kilichotokea ni kweli alibeba...
  7. Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  8. Mama, Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila jambo.

  9. Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia Mwaka jana yakajirudia...
  10. Hapa ndipo huwa ninautukuza utukufu wa Mwenyezi Mungu

    Unanunua viatu unavaa vinakwisha lakini hii ngozi iliyoumbwa na Mungu inaishi.
  11. M

    Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

    Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema. Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa...
  12. Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  13. TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

    MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani. Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi. Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa...
  14. Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

    Mzuka wanaJF! Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House. Die hard Trump supporter!
  15. V

    Tumuombe Mwenyezi Mungu

    Amani iwe nanyi, Kwa kuwa tumemaliza uchaguzi na umepitia katika hali ya kushangaza pale matokeo yalipotangazwa kuona chama tawala kikishinda katika chaguzi zote za uraisi, ubunge na udiwani kwa "kishindo", ni vyema tukajifariji kwa pande zote zilizoshinda na kushindwa kwa haki kwa Kumuomba...
  16. M

    Zanzibar 2020 Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  17. Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  18. Uchaguzi 2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  19. E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

    Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF. Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF. MIMI. Umri 24 Muislam halisi Diploma ya civil engineering. Maji ya kunde Zanzibar Ninayemuhitaji...
  20. Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…