Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.
Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵
Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana.
Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji wako kwake.Hauwezi kudumisha mahusiano kama mwenza wako ameamua muachane.Utadumu na mwenza wako pale...
Kwa upande wangu kuna kipindi nilisafiri kwa siku kadhaa, nikiwa huko nikapigiwa simu kwamba wezi wamevunja dirisha ghetto kwangu na kuniibia. Ikabidi nikatishe shughuli zilizonipeleka kule na kuamua kurudi niangalie mazingira. Hawakuchukua vitu vyote, ila vilivyobaki navyo viliharibika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.