Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.
Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hiziš«µ
Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...