mwenza wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiredio Jr

    Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

    Habarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu. Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi. Pili sikuhizi baada...
  2. Chance ndoto

    Nina mtoto ila nataka kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa. Naeleza vipi kwa mwenza wangu huyu?

    Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024. Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
  3. Z

    Mume HIV+ uko wapi mwenza wangu?

    Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia??? Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula kizuri... Nipambe nyumba yetu nzuri kwa maua, tuwe na amani na tupendane...
  4. kocha Nabi

    Mwenza wangu anasumbuliwa na kutoka damu kipindi cha ujauzito

    Habari wakuu, Tupo tunalea mimba ina week 8 now, but tangu week ya 4 mwenza amekuwa akipata shida ya kutokwa vitone vya damu ukeni. Inaweza chukua siku mbili isitoke lakini siku ya 3 ikatoka kitone kidogo sana kama mtu aliyegusisha pamba ya masikioni kwenye nguo ya ndani. Tatizo lilipoanza...
  5. Memtata

    Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

    Habari wakuu, Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa. Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi...
  6. D

    Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...
  7. Zero IQ

    Kesho nampeleka mwenza wangu Clinic, vitu gani vya kuzingatia?

    Niko na mwenza naishi nae, bado sijaoa ila niko nae tu kuvukisha kipindi hiki cha baridi kipite salama bila kubanwa na Ngiri. Mwenza wangu ni mjamzito, na kesho namsindkiza clinic kwenda kumfungulia kadi. Kwa kweli sijawahi kwenda huko, watoto wangu wote ni mama zao tu ndio walikuwa wanaenda...
Back
Top Bottom