Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine
Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania.
SIFA ZA MKOPO:
✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
Ubahili unanifanya nitelekezwe na wanawake
Mimi huwa ni mzito sana kwenye kuhonga; ila kama ni kula, kunywa, kucheza mziki, na kutalii baadhi ya mazingira tutakuwa wote; muhimu katika shilingi ninayotoa na mimi ninufaike nayo.
Kutokana na mazingira hayo, wengi niliokuwa nao kwenye mahusiano...
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani.
Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe au mambo mengi, pombe zinaachwa kwa step ila pia ni wake wengi mbona wanapenda waume zao wanywe nao...
Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi.
Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
Kuna hili suala la kila nyumba za ibada za kishetani zinapewa jina la kanisa na sio msikiti?
Kitu gani kinawavuta kuita kanisa badala ya msikiti ili hali kanisa ni nyumba za ibada za wakristo kama ilivyo kwa waislam msikiti.
Je, kuna mwenye majibu kuhusu hilo?
"Mimi na Jennifer sio na hatujawahi kuwa wapenzi, naweza kulala nae kitanda kimoja usiku mzima na tusifanye chochote tukaishia kupiga stori tu"- Othman Njaidi, "Patrick Kanumba", Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Yaani kabisa Nadindisha vyema, halafu nilale na Mbunye iko pembeni...
DAR ES SALAAM - Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo amesema vijana wengi kwa sasa wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa ni wasomi wazuri akishauri wenyeviti wa bodi za...
Habarini wana Jamvi.
Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto ilikuwa ni ajali kazini.
Nahudumia mtoto ina Bima hii mbovu mbovu ya NHIF nimemkatia ila katikati apa...
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na...
Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo, mikosi na mwoga, na Ajira ni chanzo cha maisha mazuri ukiwa na akili kubwa na mwenye bahati...
Habari wana JF poleni na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kote Nchini
Kuna mdada amehamia katika Room inayofuatana na yangu sasa toka amehamia tunaishi poa sana kiasi hata nikiomba mzigo sahii ananipa.
Sasa juzi kamerudi kamelewa kakaniomba nikasaidie kufungua mlango wake sikustuka kumuona...
Kila kitu kizuri kinachoonekana mbele ya macho yako leo.,elewa ya kua ni mipango ya watu nyuma. Maisha ni kama story yana kila hatua na matukio mbalimbali.
Yakuhuzunisha, kufurahisha na hata kuvunja moyo ila isiwe kama sababu kwako au pengine tunatofautiana mpango wa fedha kutokana na familia...
Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
Wakuu habari,
Mpangaji mwenzangu amehama kisa shughuli zangu zinazoniingizia kipato zinamkera.
Nikawaida kukuta kwenye hizi nyumba za kupanga kukuta watu wakifanya shughuli mbalimbali za kuwaingizia kipato ili maisha yaendelee na kuweza kulipa kodi.
kuna wengine ktk hizi nyumba za kupanga...
Hawa wanawake kwa kweli nimewapa nyota tatu za jeshi.
Dada mmoja wiki tofauti kaja dukani kanunua simu tofauti ambazo ni iPhone 14 na Samsung S23, zote hizo ni wanaume wawili tofauti, mmoja iPhone na wapili Samsung.
Ila kwa vile ni biashara, aisee!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.