Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000?
Economic value ya kitu...
Kuna jambo nilichart na mchepuko Sasa naona kuniambia scenario nzima jinsi,nilivyokuwa nafanya hiyo charting na sms nilizifuta.
Sasa ninaomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza kuondokana na kadhia hii wakuu.pia naomba kujuzwa hii extension rbm.goog inamaana gani kwenye settings za sms
miongoni mwa changamoto kubwa kwenye mahusiano na ndoa nyingi kwa sasa ni kukosekana kwa uaminifu baina ya wahusika..
kuchepuka na michepuko limekua jambo la kawaida na ni chanzo cha migogoro na kusambaratika kwa chumba nyingi, mahusiano na ndoa nyingi sana, huku wanaoathirika zaidi ni watoto...
mathalani,
kwa muda mrefu, na kwa hamu kubwa,
mmepanga au kuahidiana kukutana faragha kwa ajili ya kushiriki penzi moto moto na kipenzi chako, halafu ghafla umefika eneo la faragha tayari kwa tendo, halafu hakuna kinachowezekana, moja haikai, mbili haikai, na huelewi wala hujui sababu ni nini...
Baada ya kuingia Mama Samia kwenye usukani mengi yamefanyika likiwemo la kuwajali watumishi hasa upande wa madaraja,. Sasa leo badhi ya watumishi walioenda kwenye ATM kutoa chochote ikawa ndivyo sivyo.
Nikasikia malalamiko mbona nilikuwa napanda mwezi huu lakini sijaona mabadiliko kwenye...
Salaam wandugu,
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yatokanayo na mambo ya mahusiano,uchumba na ndoa. Malalamiko haya mara nyingi yamesababishwa na kitu kinachoitwa UAMINIFU. Mwanaume anataka mke awe wakwake peke yake na mwanamke anataka mume awe wakwake peke yake.
Sasa hayo yameshindikans...
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..
Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za...
Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member.
Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko.
Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32.
Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza...
1. Usimsahihishe mwenzi wako hadharani mbele ya umma au kundi la watu, Inamfanya aone aibu.
2. Usimfokee au kumkaripia mwenzi wako unaporekebisha.
3. Usitumie maneno kama "Hautawai...", au "Wewe kila mara...". Kufanya hivyo ni kuchochea visa. Tumia maneno kama "Sidhani kama ilikuwa sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.