Leo katikati pitapita zangu mtandaoni, nilikutana na habari fulani kuhusu Profesa Baregu na nikaona niingie WIKIPEDIA labda naweza kupata taarifa zaidi.
Hata hivyo, baada ya kuingia licha ya kutopata maelezo mengi, bali nimegundua WIKIPEDIA wametoa taarifa isiyo sahihi kuhusu tarehe...
Ni habari mbaya ambayo imetokea muda si mrefu.
Aliyekuwa Mhadhiri wa Vyuo Vikuu mbalimbali nchini, Prof. Mwesiga Baregu amefariki dunia mapema leo.
Prof. Baregu alikuwa pia Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA.
Pia Soma: Prof. Baregu alifukuzwa UDSM kwa sababu za kisiasa, huku Bashiru akiachwa...
Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi kwa kuwa ni CCM na leo ameteuliwa kuwa Katibu mkuu wa chama. Twaambiwa alikuwa mwanachama wa siri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.