Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro.
Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...