Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amesema mwezi haujaonekana leo Ijumaa February 28,2025 na hivyo amewatangazia Waislamu wote kwamba mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan utaanza keshokutwa Jumapili March 02,2025.
Akitangaza taarifa hiyo Jijini Tanga leo, Mufti Zubeir...