DKT MWIGULU: AFRIKA IGEUZE MABADILIKO YA DUNIA KUWA FURSA ZA MAENDELEO
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Afrika inapaswa kutumia mabadiliko yanayoendelea katika siasa, uchumi na usalama duniani kama fursa ya kuharakisha maendeleo yake.
Amesema inapaswa kufanya hivyo kwa kuimarisha...