mwijage

  1. Mhandisi Mwijage: Wananchi Bukombe tumieni Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya na kutunza mazingira

    Wananchi kote Nchini wametakiwa kuendelea kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuimarisha afya zao sambamba na kutunza mazingira. Wito huo umetolewa Oktoba 10, 2024 Wilayani Bukombe Mkoani Geita na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA)...
  2. B

    Kishindo kikubwa kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa askofu jovitus mwijage wa jimbo la Bukoba

    Askofu mwijage (katikati) mwenye fimbo akiwa na baadhi ya maaskofu waliohudhuria ibada hiyo Askofu Mwijage akikabidhiwa fimbo na Kardinali Rugambwa wa Jimbo Kuu la Tabora katika ibada hiyo. Msemo wa kihaya usemeo “Tikiliwa Igamba”ambalo tafsiri yake ni “tukio ambalo litabaki simulizi”...
  3. Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

    Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
  4. Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  5. Mbunge Charles Mwijage Aionesha Serikali Mbinu ya Kulinda Viwanda

    MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya Wizara ya viwanda na Uchukuzi Mhe. Mwijage ametumia muda huo kuionyesha Serikali mbinu hizo ambazo...
  6. Erick Mwijage alimwambia Djigui Diarra upande atakaopiga penati katika mchezo wa Yanga na Kagera sugar jana

    Ushahidi wa picha unaonesha Diarra akienda na kuinama kisha Mwijage naye akainama pale wakanong'onezana. Diarra alipangua penati ile nyepesi.
  7. Charles Mwijage: Watanzania hawataki uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine

    Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
  8. Charles Mwijage: Wananchi wananiona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni

    Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha...
  9. Uchaguzi 2020 Kwaheri Charles Mwijage, Ubunge sio cheo cha Ufalme

    Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Magufuli wakati ikipambana kuhakikisha nchi inakua kiuchumi kuna baadhi ya viongozi wa ovyo wao akili zao wanawazia nafasi za uongozi wao. Ni tarehe mbili mwezi wa saba tu mwaka huu Tanzania inafanikiwa kuingia kwenye uchumi wa kati wa chini ambapo...
  10. Waziri Mwijage: Mimi ni 'propagandist' niliyesomea China. Aagiza tani 20,000 ya sukari bandarini itolewe

    Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema nchi ina sukari ya kutosha na kilichojitokeza ni propaganda ya watu wasioitakia mema. Akihitimisha hoja ya bajeti ya wizara yake ya mwaka 2018/19 leo Mei 11, 2018 bungeni, Mwijage amesema tayari ameagiza Shirika la Viwango...
  11. Vatican inamiliki dunia

    KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi nishangaza kuhusa kanisa Katoliki ni uwepo wa hawa Masister wenye DOWNS SYNDROME sijawahi ona dini...
  12. Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…