Fikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa .
Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na...
Inaonekana trend mpya mjini ni kugalagala kwani baada ya Jenista Mhagama kugalagala juzi mkoani Ruvuma, mtangazaji na mwanamitandao maarufu Mwijaku nae ameunga tela!
Kuna video inasambaa mtandaoni inamuonesha Mwijaku anagalagala kwenye matope akimpongeza Rais Samia kwa ujenzi wa madarasa.
Soma...
Kwa mujibu wa Wakili wa Masoud Kipanya, amesema Mtangazaji huto maarufu kwasasa anapata shida kujitokeza mbele ya watu kutokana na tuhuma za kujihusisha biashara haramu zilizotolewa na Mwijaku
Hayo yamebainishawa na Wakili wa Mtangazaji Masoud Kipanya, Alloyce Komba kutoka kampuni ya Haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.