Nimeona habari ya viungo na mafuvu yanayodhaniwa kuwa ya mwanamke kupatikana kwenye chemba ya maji Tabata. Mambo ya kutisha sana 🤦🏽♀️😔.
Tukio gani la ajabu umeshawahi kulishuhudia huko mtaani kwenu?
=====
Mwili wa marehemu ambaye haujatambulika umekutwa katika shimo la choo ndani ya nyumba...