Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile, katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Pia, Soma...
Arusha Mfanyabiashara tajiri wa mawe ndugu Temu amefariki dunia na kuacha kizaazaa nyuma. Bwana huyo ana migodi, magari sita, mashamba, majumba na mahoteli na maviwanja.
Alioa mke aitwae Yasinta ndoa ya kanisani.
Akazaa nae watoto 5 Kama kawa huko chuga hawa mabilionea hua wanapenda...
Mwili unaogombaniwa na familia mbili ambao ulizikwa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, umefukuliwa leo kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya vina saba (DNA).
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, (31)aliyefariki Juni 16,2024 na kuzikwa...
Polisi wameshindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, baada ya ndugu kudai hawana taarifa hiyo na kutaka waonyeshwe kibali cha kuwaruhusu kufanya hivyo.
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, aliyefariki dunia Juni...
KENYA - Mahakama ya Rufaa imeagiza mwili wa Silas Igweta uhifadhiwe katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Umash jijini Nairobi kusubiri kesi iliyowasilishwa na mke wa pili wa marehemu, Sarah Kathambi.
Sarah Kathambi na mke mwenza Grace Rigiri wanapigania ni nani anafaa kuzika mabaki ya mume...
Kifo ni fumbo. Ni nini hasa hutokea mtu anapokufa? Je binadamu ni nini hasa mwili au pumzi ya uhai ndani ya mwili au vyote? Je ni sahihi kusema tunaaga mwili wa marehemu au tunamuaga marehemu?
Je hata wale wasioamini maisha nje ya mwili hufanya nini mbele ya miili ya marehemu? Kuheshimu, kuaga...
Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020.
Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
Hivi inaingia Akilini Kweli Marehemu ameishi ndani ya hiyo hiyo Nyumba kwa Miaka 50 na Nature ya Milango ya Nyumba yake mnaijua halafu Amefariki mnauleta Mwili wake Nyumbani Kwake hapo na Kulazimisha uingie Ndani na Kuanza kuwa kama Panya Road na Kuvunja Mlango na hata kuharibu Miundombinu ya...
Familia ya Bulole wa Miyuji jijini Dodoma wamegoma kuchukua mwili wa ndugu yao, Richard Bulole ambao upo chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya rufaa ya Dodoma tangu Agosti 13, 2022.
Sababu za kususia mwili huo zimetajwa kuwa wanataka ukweli kuhusu kifo cha ndugu yao ambaye taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.