Wanasema tembea uone
Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia
Ukerewe ni Moja ya wilaya za
mkoa wa Mwanza
Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20
Nilitembelea baadhi ya visiwa...
Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi:
"Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye...
Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga.
Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe.
Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe.
Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa.
Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc.
Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine.
Nina mkasa wa rafiki...
Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini?
Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party!
Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote.
Ref Daily News front page.
The goal haswa ni kukujenga katika upya maana utoto unafanania na una respresent mwanzo.
Jiulize huyu dogo naemuona hapa angefanya unyama huu naotaka kufanya?
Jiulize hivi huyu dogo namtendea haki kweli yeye na wale waliomlea kwa hatua hii ndogo niliofika?
Jiulize hivi huyu dogo angejua kuwa...
Wasalaam.
Kuna taarifa kwamba ccm wamechukua baadhi ya mabasi ya yutong yalioagizwa kwa ajili ya jeshi la Tanzania na kuyapaka rangi ya kijani na kuwa mali ya ccm. Huu ni wizi km wizi mwingine ambao ccm wamekua wakiibia taifa hili. Pia wameenda mbali na kupora baadhi ya pikipiki za misafara na...
Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo
Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa kila mahala. Yawezekana wanakuchukia kwasababu ya kipawa, neema au uwezo ulionao mkubwa kiasi kwamba...
Mwanaume alikuwa na kawaida ya kumpa ombaomba mmoja Shilingi milion moja kila mwezi.
Mtu huyo aliendelea kufanya hivyo kwa muda Sana.. Sasa Siku moja, akampa ombaomba shilingi laki saba na nusu pekee. Ombaomba yule alishangazwa na hilo, lakini akajisemea, 750,000 ni bora kuliko kukosa...
Wakuu nimeona Hawa Gasia - Mjumbe wa Kamati ya UtekelezajI UWT akieleza kuwa baada ya Rais Samia aje tena Rais mwanamke.
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Kuna hili jambo limekuwa linanitatiza kwa muda mrefu.
Mimi siyo mtumaji sana wa SMS, unakuta napata SMS 100 au zaidi katika bando la mwezi. Unashangaa mwezi haujafika wananiambia SMS zangu zimeisha wakaki najua kabisa sijatuma idadi hiyo ya SMS ndani ya muda huo.
Njia pekee ya kufikisha...
Wanabodi,
Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake.
Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi, lakini kwa sisi wa rika lake, wale watu wa 60s, huyu kwetu ni dada yetu mkubwa!, hivyo hili ni...
Kwa hali ya uhasama ilipofikia baina ya wagombea wenyewe, lakini pia hali ya uhasama na uadui wa kweli kabisaa baina ya wafuasi wa wagombea uenyekiti wa Chadema Taifa.
Posho na malipo ya kujikimu kwa wajumbe inaweza kua chanzo cha fujo kwenye uchaguzi huo.
Ni dhahiri, ustahimilivu umefikia...
amani
bavicha
bawacha
chadema
chini ya ulinzi
kitaifa
mkali
mwingine
rushwa
uchaguzi
uchaguzi wa chadema
ulinzi
ulinzi mkali
viongozi
viongozi wa kitaifa
vurugu
wakati
zaidi ya
Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo mengine yanayofanana na haya,
Mtu huyo anakua mkali sana au anajifanya mtakatifu mno na kwamba...
Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.