mwingulu nchemba

Mwigulu Nchemba (Dkt. Mwigulu Nchemba)
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwigulu aenda kwenye saluni ya uswahili kujichanganya na wananchi wa kawaida. Muda wa viongozi kujifanya wanyonge

    Wakuu, Mambo yanazidi kuchangamka majimboni:BearLaugh::BearLaugh: eti kaenda kwa kinyozi Juma kunyolewa. Anatuonesha alivyokwenda mara ya kwanza saluni eti haikuwa maigizo:BearLaugh::KEKWlaugh: Maigizo haya, mwishowe kijumba kiporomoke kwa uchakavu wafe, ili tu kufanya maigizo yao yaaminike...
  2. R

    DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

    Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
  3. Replica

    Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wamefikiwa, wawekewa tozo ya 382 kwa kila kilo

    Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta usawa kwa magari yanayotumia mafuta. Swali langu kwa Mwigulu, kwanini ahangaike na kuleta usawa na...
Back
Top Bottom