mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  2. Eneo linauzwa Ali Hassan Mwinyi Road

    2240 SQM Title deed: 99 Years Alongside Ali Hassan Mwinyi Road Topographical map available for serious buyers Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel. Asking price: $2 Million (negotiable) Call/WhatsApp 0788893364
  3. Pre GE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
  4. Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

    Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo, Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM, wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
  5. FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

    Ubaya Ubwela. Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi? Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga...
  6. FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  7. Mbunge Toufiq Turky awataka vijana na Wanahabari kuitangaza miradi mikubwa iliyotekelezwa na Serikali ya Rais Dkt. Mwinyi, Zanzibar

    "Mimi nimesoma Skuli ya Kajificheni darasa la kwanza na tulikuwa tunakaa kwenye boksi, darasa la pili tulipewa mabao tukakaa bao moja tunakaa watu watatu. Siyo mbali na miaka iliyopita lakini leo mtoto wa Skuli binafsi na mtoto wa Skuli ya Serikali wanakaa sawa na baadhi ya Skuli binafsi ziko...
  8. Historia ya Mwinyi Baraka

    https://www.youtube.com/live/G7j0MNkgfqA?si=mXfp8uqabv-UgTUm
  9. Walinzi wa Rais Mwinyi wamenikumbusha enzi ya awamu ya tano huku bara

    Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
  10. CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  11. Kongamano la Mwinyi Baraka: Uislam na Uzalendo

    https://youtu.be/vMA8MAZBB2Y?si=RWfDDfmV8WrzNacW
  12. Konganano la Mwinyi Baraka: Uislam, Waislam na Uzalendo

    https://youtu.be/flAHcqxtR2s?si=PHKyLVAvpsOunFa5
  13. Mrs Mwinyi na Protocol, Je hili ni sawa?

    Wapendwa habari? Naangalia hapa kupitia ZBC Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Daktari Hussein Ali Mwinyi akiwa Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Tibirizi Pemba. Mh. Raisi anapata burudani kutoka vikundi mbalimbali huku pembeni yake akiwa na Mke wake. Kilichonishangaza ni...
  14. U

    Generation Mwinyi katika CHADEMA VS Chairman Mbowe

    Natoa uzoefu kwa mambo nayoyakumbuka katika siasa za upinzani tangu nikiwa sekondari. Soma mpaka mwisho maana suala la Mbowe lipo mwisho mwisho. Binafsi nimezaliwa enzi za Mwinyi. Hii generation ndio ambayo ilitarajiwa kukuza upinzani katika siasa za mfumo wa vyama vingi kwa sababu mbalimbali...
  15. Rais Mwinyi: Serikali Itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa za Wananchi

    RAIS MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA ZA WANANCHI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewathibitishia Wananchi kuwa Serikali itaendelea Kujenga Nyumba za Kisasa Maeneo yote ambayo yana Nyumba zilizo Chakavu kwa lengo la kuwapatia...
  16. Rais Mwinyi: Kila Mwananchi Kulipwa Fidia Anayostahili

    RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi haki yake na hakuna Mwananchi atakae sononeka kwa Kukosa fidia. Rais Dk.Mwinyi ametoa agizo la...
  17. Rais Mwinyi: Sekta ya Ujenzi Imetekeleza Miradi Mingi Nchini

    RAIS MWINYI: SEKTA YA UJENZI IMETEKELEZA MIRADI MINGI NCHINI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amefahamisha kuwa Sekta ya Ujenzi ni miongoni mwa Sekta iliofanya vizuri katika Utekelezaji wa Majukumu yake kwa Kazi nzuri ya Ujenzi wa Madaraja...
  18. F

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

    Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete? https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/national/sgr-expansion-fourth-emu-train-passes-final-tests-4875584
  19. ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  20. Rais Mwinyi: Kushuka kwa Dola Kutapunguza Bei za Bidhaa

    RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi. Rais Dk. Mwinyi ameyasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…