Hawa viongozi au Marais wawili Rais Samia (Chifu Hangaya) na Rais Hussein, kwa kweli sijaona jipya ambalo litamtufaisha raia, nikimaanisha vijana na wazee kuajiriwa.
Kama kuna mtu analijua aliweke hapa, unakodisha kunajengwa mahoteli, mahoteli ambayo mengine ni marufuku kwa raia wa Kitanzania...